Fedha

Dk. Mwinyi asifu mafanikio ya uchumi shirikishi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mageuzi ya uchumi na fedha yaliyotekelezwa…

Soma Zaidi »

Dhahabu, nafaka, utalii vyapaisha mauzo nje

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka. Taarifa ya Tathmini ya Uchumi ya BoT…

Soma Zaidi »

Korosho Marathon 2025 yaiva

MTWARA; BODI ya Korosho kwa kushirikiana na Kampuni ya Makanjiro imeandaa Korosho Marathon 2025 kwa nia ya kuchangisha fedha kununua…

Soma Zaidi »

Azania benki yatoa mikopo ya bil 3/- , Iringa – Mkuu wa Mkoa atoa wito

IRINGA: Benki ya Azania imefanikisha kutoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 3 kwa wananchi wa Mkoa wa…

Soma Zaidi »

EAC iungwe mkono kukamilisha sarafu ya pamoja

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imefanikiwa kusimamia vyema Itifaki ya Soko la Pamoja katika miaka 25 baada ya kuanzishwa tena…

Soma Zaidi »

TRA yavuka lengo kwa kukusanya tril 8.9/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh trilioni 8.97 katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026.…

Soma Zaidi »

Misingi imara ya ukaguzi yaipaisha NBAA Afrika

DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) imeeleza kuwa moja ya sababu zilizochangia Shirikisho la Wahasibu…

Soma Zaidi »

TRA yafundwa kuepusha migogoro Katavi

KATAVI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Katavi imetakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kuondoa changamoto zote zinazoweza kusababisha…

Soma Zaidi »

Mitaa ya viwanda yaja kila wilaya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema serikali yake ijayo itaanzisha mitaa ya viwanda katika kila wilaya nchini. Mgombea Mwenza wa urais…

Soma Zaidi »

TRA wazindua mfumo wa tija ukusanyaji mapato

MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imezindua Mfumo wa Usimamizi wa Maarifa unaoleta tija zaidi katika ukusanyaji mapato pamoja na rejea za…

Soma Zaidi »
Back to top button