Fedha

Wananchi Karatu watakiwa kuwa makini huduma za fedha

WANANCHI wa Wilaya ya Karatu jijini Arusha, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatumia Taasisi za fedha zilizosajiliwa ambazo zinazingatia sheria, kanuni na…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara wadaka fursa SGR

DAR ES SALAAM; BAADHI ya wafanyabi ashara wamejitokeza kwa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutaka wawe wanasa fi rishiwa mizigo…

Soma Zaidi »

Waomba sheria ya VAT Service Levy zifumuliwe

WAFANYABIASHARA mkoani Geita wameiomba serikali kuzifanyia mapitio sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) pamoja na Sheria ya Ushuru…

Soma Zaidi »

EAC iungwe mkono usimamizi, utekelezaji wa sarafu ya pamoja

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imefanikiwa kusimamia vyema Itifaki ya Soko la Pamoja katika miaka 25 baada ya kuanzishwa tena…

Soma Zaidi »

Tathmini ya mikataba kuepuka ulipaji kodi maradufu Tanzania

TANZANIA nchi iliyopo Afrika Mashariki inajivunia utajiri mkubwa wa maliasili ilizo nazo pamoja na mwelekeo wake thabiti wa ukuaji wa…

Soma Zaidi »

Uchumi wa Tanzania kupaa kwa  6% mwaka 2025

  DAR ES SALAAM: UKUAJI wa uchumi kwa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwakuendelea kuwa wa kasi ya kuridhisha kwa takribani…

Soma Zaidi »

Rais Samia mgeni rasmi tuzo ulipaji kodi

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni katika tuzo ya walipaji kodi wazuri kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) katika kipindi…

Soma Zaidi »

Mapinduzi ya Kodi Tanzania na somo kutoka IMF

TUNAPOANZA mwaka huu wa 2025 matumaini, ni wakati sahihi kutafakari maendeleo ya Tanzania. Desemba 18, 2024 Shirika la Fedha la…

Soma Zaidi »

TRA kuvunja rekodi ukusanyaji kodi Desemba

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kukusanya Sh trilioni 3.49 kwa Desemba, 2024 kiasi ambacho hakijawahi kukusanywa tangu kuanzishwa kwa…

Soma Zaidi »

Walipa kodi wazalendo wapongezwa Shinyanga

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Shinyanga imewapongeza na kuwapa zawadi baadhi ya wafanyabiashara ambao wamekuwa wazalendo na waaminifu kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button