Fedha

Zambia yajifunza usimamizi madeni ya ndani Tanzania

TIMU ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Zambia, imefanya ziara ya mafunzo katika Wizara ya Fedha Tanzania. Lengo…

Soma Zaidi »

Umuhimu wa maboresho ya kodi katika ukuaji soko la hisa

MABORESHO ya kodi ni jambo muhimu katika kubadili hali ya uchumi kwa kuwa yanagusa moja kwa moja sekta mbalimbali, likiwamo…

Soma Zaidi »

Teknolojia mifumo ya benki yaendelea kuinua uchumi

UWEPO wa matumizi ya teknolojia kupitia mifumo ya benki umepelekea wananchi kufanya miamala kupitia simu zao maeneo ya mijini na…

Soma Zaidi »

TRA mshindi tuzo uandaaji mahesabu 2023

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeibuka mshindi wa jumla kwenye uandaaji wa hesabu za kifedha zinazozingatia viwango vya kimataifa vya…

Soma Zaidi »

Vodacom, Sanlam zaja na mpango wa kuwekeza kidijitali

DAR ES ES SALAAM: Kampuni ya mawasiliano, Vodacom Tanzania Plc imeungana  kwa kushirikiana na Sanlam Investments East Africa Limited, leo…

Soma Zaidi »

Tuzo ya uzalendo ulipaji kodi yaja

SERIKALI ina jukumu kubwa la kuweka mikakati ya kuendelea kurasimisha biashara nchini na kuhamasisha utumiaji wa mashine za kielektroniki katika…

Soma Zaidi »

TIRA yahimizwa kufanya kazi kidigitali

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imezindua taarifa ya utendaji wa soko la bima huku ikihimizwa kuimarisha matumizi ya…

Soma Zaidi »

Tume Maboresho ya Kodi yasheheni wabobezi kutimiza malengo

UUNDAJI wa Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ni hatua muhimu na ya…

Soma Zaidi »

Katavi wapongezwa usimamizi bora fedha za Tasaf

KATAVI: NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Deus Sangu ameupongeza Mkoa wa Katavi kwa usimamizi bora wa…

Soma Zaidi »

Kamati ya Bunge yaridhishwa ufanisi TCB

DAR ES SALAAM: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button