Fedha

ATCL yarejesha safari za ndege Dar- Guangzhou

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limerejesha safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou China kuanzia Mei 11, 2023. Kupitia…

Soma Zaidi »

Bashe: Taifa linajitosheleza kwa chakula

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Tanzania inajitosheleza kwenye hazina ya chakula na pia baki ya kuuza nje. Ameyasema hayo…

Soma Zaidi »

Geita yavutia wawekezaji kutoka Dubai

KAMPUNI ya Isra Gold Tanzania inayomilikiwa na wawekezaji kutoka Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imefungua kituo cha kusafisha…

Soma Zaidi »

Bei mafuta ya kupikia, vifaa vya ujenzi zapungua

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema bei ya mafuta ya kupikia imeshuka. Dk Kijaji aliyasema hayo…

Soma Zaidi »

TAA yatangaza mikakati ndege zitue Dodoma usiku

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imesema Kiwanja cha Ndege Dodoma kitaanza kutoa huduma za ndege kuruka na kutua…

Soma Zaidi »

RC Dar atoa maelekezo kusaidia wanawake

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam  Amos Makalla, amesema wanawake wana kazi nyingi wanazofanya hivyo  kuna haja ya kuwa…

Soma Zaidi »

TAKUKURU kufuatilia rushwa kwenye tumbaku

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Tushwa (TAKUKURU) mkoani humo…

Soma Zaidi »

Mashirika viwango EAC yaja kivingine

MASHIRIKA ya viwango vya ubora wa bidhaa kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), yamejipanga kuhakikisha masuala ya bidhaa…

Soma Zaidi »

Hotuba ya Samia yagusa wengi

WACHUMI wametaja mambo kadhaa wanayoamini yanampa Rais Samia Suluhu Hassan uhakika wa kutekeleza ahadi ya kuboresha zaidi maslahi ya wafanyakazi.…

Soma Zaidi »

BoT yanunua kilo 400 za dhahabu

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeanza kununua madini ya dhahabu ili iwepo akiba ya madini hayo nchini na tayari imeshanunua…

Soma Zaidi »
Back to top button