Fedha

Sh Bil 2.5 kusaidia wajasiriamali ubunifu

Mradi wa ubunifu wa Fungo umetangaza fursa mbili za wajasiriamali na biashara endelevu, ambapo kiasi cha zaidi ya Sh bilioni…

Soma Zaidi »

ATCL kuongeza safari, kujiendesha kwa tija

DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) litapanua wigo wa safari zake za kimataifa…

Soma Zaidi »

SGR yatengeneza ajira 9,376

DODOMA — Ajira za moja kwa moja 9,376 tayari zimezalishwa kupitia utekelezaji wa mradi wa reli ya kisasa ya SGR,…

Soma Zaidi »

Tanga ya nne uchangiaji Pato la Taifa

TANGA; MKUU wa Mkoa wa Tanga, Dk Batlida Burian, amesema kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali, sasa mkoa huo …

Soma Zaidi »

Stanchart yakamilisha uhamishaji wa biashara za kibenki kwa Access

DAR ES SALAAM: BENKI ya Standard Chartered Tanzania imekamilisha uhamishaji wa biashara zake za huduma za kibenki kwa wateja wa…

Soma Zaidi »

Wadaiwa wapewa siku 14 kurejesha mikopo

DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Tambaza Auction Mart na General Brokers Limited, kwa niaba ya Bodi ya Amana, imetoa siku…

Soma Zaidi »

Bajeti yakonga mioyo ya wananchi

SERIKALI imepongezwa kwa kuwasilisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 inayolenga kuchochea ukuaji wa uchumi, hatua inayoonekana kuwa chachu kwa…

Soma Zaidi »

Mwenendo na Uhimilivu wa Deni la Serikali

SERIKALI imesema hadi Aprili 2025, deni la Serikali lilikuwa shs trilioni 107.70. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hayo…

Soma Zaidi »

Samia: Mwelekeo safi mashirika ya umma

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mashirika ya umma yana mwelekeo mzuri na yanajenga heshima ya nchi kutokana na mageuzi wanayofanya…

Soma Zaidi »

Samia: Mashirika, Taasisi za Umma zilinde uwekezaji wa Serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Mashirika na Taasisi za Umma kuhakikisha yanawajibika ipasavyo katika kulinda na kuendeleza uwekezaji…

Soma Zaidi »
Back to top button