Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Kazi za ubunifu, uvumbuzi zisiishie kwenye maonesho
July 4, 2025
Kazi za ubunifu, uvumbuzi zisiishie kwenye maonesho
MAONESHO ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea yakitoa fursa kwa washiriki kuonesha bidhaa zao, huduma…
BoT yapunguza riba ya mikopo
July 4, 2025
BoT yapunguza riba ya mikopo
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imepunguza riba yake kutoka asilimia sita hadi 5.75. Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba amesema hayo…
Sababu saba TRA ikikusanya tril 32/-
July 2, 2025
Sababu saba TRA ikikusanya tril 32/-
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka rekodi kwa ukusanyaji wa mapato kwa kukusanya Sh trilioni 32.29 katika Mwaka wa Fedha…
Tija kilimo cha korosho inataka matumizi sahihi ya viuatilifu
July 1, 2025
Tija kilimo cha korosho inataka matumizi sahihi ya viuatilifu
MATUMIZI sahihi ya viuatilifu ndiyo chachu kufikia uzalishaji unaotarajiwa kupatikana katika zao la korosho nchini na hii ni kutokana na…
Mkonge kuwafungulia neema wakulima Tanga
July 1, 2025
Mkonge kuwafungulia neema wakulima Tanga
ZAIDI ya wakulima wa mkonge 5,000 mkoani Tanga watanufaika kwa kupata soko la uhakika la mazao yao na bei bora…
Madini Tanzania na historia katika dhahabu, ajira na mapato lukuki
July 1, 2025
Madini Tanzania na historia katika dhahabu, ajira na mapato lukuki
UWEKEZAJI katika sekta ya madini umeendelea kuwa kichocheo muhimu cha ukuaji wa uchumi kwa nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania. Kupitia…
Mwanga Benki yaanza huduma mpya ya mikopo
June 30, 2025
Mwanga Benki yaanza huduma mpya ya mikopo
DAR-ES-SALAAM : BENKI ya Mwanga Hakika imezindua huduma mpya ya utoaji haraka wa mikopo kupitia hati fungani inayoitwa 'Mkopo Chap'…
Ushirikiano Tanzania, China kuibua fursa za ajira
June 29, 2025
Ushirikiano Tanzania, China kuibua fursa za ajira
SERIKALI kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China wanaofanya shughuli zao nchini, imeingia makubaliano ya kutoa ajira kwa zaidi…
Sh Bil 2.5 kusaidia wajasiriamali ubunifu
June 29, 2025
Sh Bil 2.5 kusaidia wajasiriamali ubunifu
Mradi wa ubunifu wa Fungo umetangaza fursa mbili za wajasiriamali na biashara endelevu, ambapo kiasi cha zaidi ya Sh bilioni…
ATCL kuongeza safari, kujiendesha kwa tija
June 27, 2025
ATCL kuongeza safari, kujiendesha kwa tija
DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) litapanua wigo wa safari zake za kimataifa…