Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Rais Samia azindua rasmi usafirishaji mizigo kwa SGR

Rais Samia azindua rasmi usafirishaji mizigo kwa SGR

PWANI; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa treni ya umeme…
Rais Samia aweka baraka Kongani ya viwanda Kwala

Rais Samia aweka baraka Kongani ya viwanda Kwala

PWANI; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya…
Teknolojia ya ubebeshaji inavyoipa sifa Tanzania uzalishaji wa korosho

Teknolojia ya ubebeshaji inavyoipa sifa Tanzania uzalishaji wa korosho

TEKNOLOJIA bora ya ubebeshaji inayotumika kuzalisha zao la korosho nchini Tanzania imeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa nchi nyingine za Afrika…
Nyenzo ya kuchochea maendeleo ya kilimo – biashara

Nyenzo ya kuchochea maendeleo ya kilimo – biashara

MAONESHO ya Nane Nane hufanyika kila mwaka kuanzia Agosti, Mosi na kufikia kilele Augosti 8, yakiwa ni sehemu ya kuadhimisha…
Serikali yaita wawekezaji ujenzi wa makazi mil 3.8

Serikali yaita wawekezaji ujenzi wa makazi mil 3.8

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi kuwekeza katika…
Airtel Afrika yajivunia ufanisi robo ya kwanza 2025

Airtel Afrika yajivunia ufanisi robo ya kwanza 2025

Dar es Salaam: Airtel Africa imetangaza matokeo bora kwa robo ya kwanza iliyoishia Juni 30, 2025, ikionesha ongezeko la wateja…
NMB yatoa mil 100 maandalizi nanenane

NMB yatoa mil 100 maandalizi nanenane

BENKI ya NMB imeikabidhi Wizara ya Kilimo Sh milioni 100 kusaidia maandalizi ya Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu…
Kituo cha EACLC kuongeza thamani ya biashara

Kituo cha EACLC kuongeza thamani ya biashara

DAR ES SALAAM : Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania -TISEZA, Gilead Teri amesema kukamilika…
Mkakati utekelezaji mkataba wa AfCFTA wazinduliwa Dar

Mkakati utekelezaji mkataba wa AfCFTA wazinduliwa Dar

DAR ES SALAAM; Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) umezinduliwa Dar…
Matukio mbalimbali uzinduzi utekelezaji wa AfCFTA

Matukio mbalimbali uzinduzi utekelezaji wa AfCFTA

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la…
Back to top button