Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

PPP imeleta mapinduzi safari za kwenda Makka 🌙

PPP imeleta mapinduzi safari za kwenda Makka 🌙

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC ) David Kafulila amesema…
Bei za mbuzi zapanda Dar

Bei za mbuzi zapanda Dar

WAKATI Waislamu duniani wakijiandaa kuadhimisha Sikukuu ya Eid al-Adha inayohusisha ibada ya kuchinja wanyama, wafanyabiashara wa mifugo katika Soko la…
ATCL yarejesha huduma Chato

ATCL yarejesha huduma Chato

DODOMA; SERIKALI imesema Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), itarejesha safari zake za ndege ya abiria kwenye Uwanja wa Ndege wa…
Benki yajizatiti uchumi kidigitali

Benki yajizatiti uchumi kidigitali

DAR ES SALAAM: BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kujikita katika kukuza uchumi wa kidijiti kupitia matumizi ya teknolojia bunifu zinazolenga…
Serikali yazungumzia hatua kuimarisha biashara kikanda

Serikali yazungumzia hatua kuimarisha biashara kikanda

DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema serikali imeendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vya biashara visivyo vya…
Tanzania ina viwanda 1,604 mafuta ya kula

Tanzania ina viwanda 1,604 mafuta ya kula

DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema Tanzania ina jumla ya viwanda 1,604 vya kuzalisha mafuta ya kula,…
Hivi hapa vipaumbele 7 bajeti viwanda na biashara 2026/27

Hivi hapa vipaumbele 7 bajeti viwanda na biashara 2026/27

DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo mwaka 2026/27 ikiwa na vipaumbele…
Imani ya wawekezaji yawezesha hatifungani EFTA kuvuka lengo

Imani ya wawekezaji yawezesha hatifungani EFTA kuvuka lengo

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Tanzania (CMSA) imesema kuongezeka kwa imani ya wawekezaji katika masoko…
WMA yasisitiza ukaguzi matumizi vipimo sahihi

WMA yasisitiza ukaguzi matumizi vipimo sahihi

WAKALA wa Vipimo (WMA) umesisitiza kuendelea kufanya ukaguzi wa matumizi ya vipimo sahihi kwenye maeneo ya uzalishaji, maghala yanayouza bidhaa…
CMSA: Taasisi za kifedha zifuate miongozo ya uwekezaji

CMSA: Taasisi za kifedha zifuate miongozo ya uwekezaji

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana CMSA, imezitaka taasisi za kifedha zinazotoa huduma ya uwekezaji wa…
Back to top button