Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Halotel waeleza walivyowafikia wateja

Halotel waeleza walivyowafikia wateja

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Halotel imesema hadi kufikia Septemba mwaka huu imefanikiwa kufikia wateja milioni 16.5 kupitia huduma mbalimbali zinazotolewa…
UNCDF waongoza mjadala Dira 2050

UNCDF waongoza mjadala Dira 2050

MFUKO wa Mitaji ya Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCDF), kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania na wadau mbalimbali wa…
Matinyi aongoza ujumbe wa Tanzania Oslo

Matinyi aongoza ujumbe wa Tanzania Oslo

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi aliongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Biashara kati ya nchi za Nordic…
NEEC: Wananchi wanapaswa kupata fursa sawa kiuchumi

NEEC: Wananchi wanapaswa kupata fursa sawa kiuchumi

DAR ES SALAAM: Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesema wananchi wote wanapaswa kupata fursa sawa za kiuchumi ili…
Korosho Marathon 2025 yaiva

Korosho Marathon 2025 yaiva

MTWARA; BODI ya Korosho kwa kushirikiana na Kampuni ya Makanjiro imeandaa Korosho Marathon 2025 kwa nia ya kuchangisha fedha kununua…
Azania benki yatoa mikopo ya bil 3/- , Iringa – Mkuu wa Mkoa atoa wito

Azania benki yatoa mikopo ya bil 3/- , Iringa – Mkuu wa Mkoa atoa wito

IRINGA: Benki ya Azania imefanikisha kutoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 3 kwa wananchi wa Mkoa wa…
Kariakoo yatangaza msamaha wa kodi miezi miwili

Kariakoo yatangaza msamaha wa kodi miezi miwili

SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka.…
SMZ kuimarisha uchumi wa buluu

SMZ kuimarisha uchumi wa buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Rais Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya sekta…
Uwekezaji wa serikali wafikia tril 92.3/-

Uwekezaji wa serikali wafikia tril 92.3/-

MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema uwekezaji wa serikali ndani na nje ya nchi umeongezeka kwa asilimia saba. Taarifa ya…
Bandari Mtwara yapokea mafuta kwenda nchi jirani

Bandari Mtwara yapokea mafuta kwenda nchi jirani

BANDARI ya Mtwara imeanza kupokea meli zenye mzigo wa mafuta ambayo husafirishwa kwenda Zambia, Malawi na Burundi. Meneja wa Bandari…
Back to top button