Uchumi

Kaukau kutozwa ushuru

DODOMA; SERIKALI inakusudia kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha Shilingi 50 kwa kilo ya crisps (kaukau)  zinazozalishwa nchini, na…

Soma Zaidi »

Ushuru vinywaji vya kuongeza nguvu  kupunguzwa

DODOMA; SERIKALI inakusudia kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi…

Soma Zaidi »

Sh tril.40 bajeti kugharamiwa na mapato ya ndani

DODOMA; BAJETI ya serikali ya mwaka wa fedha 2025/26 inatarajiwa kugharamiwa na mapato ya ndani ya shilingi trilioni 40.47. Kauli…

Soma Zaidi »

Misingi ya bajeti 2025/26 hii hapa

DODOMA; WAZIRI wa Fedha, Dk Mwiguku Nchemba, muda huu anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2025/26.…

Soma Zaidi »

Mwenendo na Uhimilivu wa Deni la Serikali

SERIKALI imesema hadi Aprili 2025, deni la Serikali lilikuwa shs trilioni 107.70. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hayo…

Soma Zaidi »

Mfumuko wa bei wapungua

DODOMA; Mfumuko wa bei nchini ulipungua na kufikia asilimia 3.1 mwaka 2024 ikilinganishwa na asilimia 3.8 mwaka 2023, Bunge limeelezwa.…

Soma Zaidi »

Korosho; ‘dhahabu’ inayofanya mageuzi ya kiuchumi Kusini

KWA miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mageuzi makubwa yamefanywa…

Soma Zaidi »

Manufaa lukuki ushiriki wa Tanzania maonesho Japan

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World Expo Osaka 2025) yanayoendelea nchini Japan. Yalianza Aprili…

Soma Zaidi »

Serikali: Tunahitaji Wawekezaji Wakubwa

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetoa wito kwa wawekezaji wa kimataifa kuwekeza nchini kwa kiwango kikubwa na katika miradi ya kimkakati,…

Soma Zaidi »

Katibu Mtendaji Tume ya Mipango ateta na Bakhressa

DAR ES SALAAM; Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk Fred Msemwa, amekutana na Mfanyabiashara mashuhuri barani Afrika,…

Soma Zaidi »
Back to top button