Uchumi

Mageuzi kulibeba Soko la Kariakoo

SOKO la Kariakoo si tu eneo la kijiografia; ni injini ya kiuchumi na nguzo muhimu ya shughuli za kibiashara nchini…

Soma Zaidi »

Watanzania kuwekeza sarafu na iDollar Fund

DAR ES SALAAM: MFUKO wa Uwekezaji wa Pamoja iDollar Fund utawezesha Watanzania kuwekeza sarafu za kigeni kama vile Dola, Pauni…

Soma Zaidi »

Mapato TRA kwa mwezi juu 77% miaka minne

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita makusanyo yake kwa mwezi…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maagizo makusanyo TRA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kuongeza makusanyo. Majaliwa alisema hayo wakati wa…

Soma Zaidi »

Samia aweka historia Dira 2050

RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo isiyokuwa…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ataka kasi PPP viwanja Sabasaba

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema sasa ni wakati wa kuwa na uwanja wa kisasa wa maonesho ya kimataifa…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara biashara duniani

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania inang’ara katika biashara duniani. Dk Mwinyi alisema hayo wakati akifungua Maonesho ya…

Soma Zaidi »

Rais Samia aokoa Sh bilioni 100 kila mwezi

RAIS Samia amepunguza matumizi ya Bandari ya Dar es salaam kutokana na uwekezaji mpya uliofanyika Oktoba 22 2023 kati ya…

Soma Zaidi »

Sababu saba TRA ikikusanya tril 32/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka rekodi kwa ukusanyaji wa mapato kwa kukusanya Sh trilioni 32.29 katika Mwaka wa Fedha…

Soma Zaidi »

Tija kilimo cha korosho inataka matumizi sahihi ya viuatilifu

MATUMIZI sahihi ya viuatilifu ndiyo chachu kufikia uzalishaji unaotarajiwa kupatikana katika zao la korosho nchini na hii ni kutokana na…

Soma Zaidi »
Back to top button