Uchumi

Serikali yazungumzia ushirikiano na sekta binafsi

FISI ya Msajili wa Hazina (OMH) imesema serikali iliamua kushirikiana na sekta binafsi katika uendeshaji wa baadhi ya mashirika ili…

Soma Zaidi »

Handeni Mji kuzindua Jukwaa uwezeshaji wanawake

TANGA; KUELEKEA kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Halmashauri ya Mji Handeni inatarajia kuzindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake…

Soma Zaidi »

‘Serikali kununua ndege mpya nane’

DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amebainisha mafanikio ya Kampuni ya Ndege ya ATCL, ambapo amesema kuwa…

Soma Zaidi »

Siku 100 za Rais Samia zinavyoashiria mapinduzi ya kilimo

KATIKA siku 100 za mwanzo za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na…

Soma Zaidi »

TANROADS, TARURA Kagera wateta na wadau wa barabara

KAGERA; WAKALA wa Barabara (TANROADS) na wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura), wamekutana na wadau mbalimbali wa barabara…

Soma Zaidi »

TRA yazionya bandari kavu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa kampuni za bandari kavu zinazochochea ukwepaji wa malipo…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara wadogo mpakani kunufaika makubaliano STR

MALAWI;  WAFANYABIASHARA wadogo  watanufaika na  Mfumo Rahisi wa Kurahisisha na Kuimarisha biashara  (STR) zinazofanyika katika mipaka ya Tanzania na Malawi,…

Soma Zaidi »

Uzembe Bandari Mombasa Wapunguza Mapato Kenya

BENKI ya Dunia imeonya kuwa Bandari ya Mombasa, kitovu cha uchumi wa Kenya na lango kuu la biashara Afrika Mashariki…

Soma Zaidi »

TADB yaendelea diplomasia ya uchumi kupitia kilimo

QATAR: Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo yanayofanyika nchini Qatar ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Prof Kristin: Sera madhubuti matumizi sahihi ya rasilimali Afrika inahitajika

OSLO, NORWAY: Mapambano hayo yanahususisha matumizi ya mbinu zote halali na zilizowekwa kwa mujibu wa katiba na sheria ili kufanikiwa…

Soma Zaidi »
Back to top button