Uwekezajia

TAFICO waja kivingine kuimarisha sekta uvuvi

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Uvuvi Tanzania (TAFICO), limesaini mkataba wa ujenzi wa meli mbili za uvuvi wa bahari kuu…

Soma Zaidi »

Songwe yaongoza njia mageuzi ya kiuchumi Dira 2050

SONGWE: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Mkoa wa Songwe unapaswa kutazamwa kipekee…

Soma Zaidi »

Kamati ya Bunge yasifu ufanisi Wizara ya Viwanda na taasisi zake

DODOMA; Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ikiongozwa na Mwenyekiti wak, Deodatus Mwanyika, imeipongeza Wizara…

Soma Zaidi »

TBS yapongezwa udhibiti usalama, ubora wa bidhaa

DODOMA; Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeipongeza TBS kwa kutekeleza majukumu yake ya udhibiti ubora kwa…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa maelekezo kuadimika kwa saruji

DODOMA; Serikali imewapa siku saba wamiliki wa viwanda vya kuzalisha saruji nchini kuwasilisha mapendekezo ya namna ya kutatua changamoto ya…

Soma Zaidi »

Rais Samia afurahishwa huduma NSSF

ZANZIBAR; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ametembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika…

Soma Zaidi »

‘AFCON 2027 ni dhahabu kwa wafanyabiashara’

DAR ES SALAAM: Wafanyabiashara nchini wametakiwa kuanza kujiandaa mapema kutumia fursa zitakazotokana na Tanzania kuwa mwenyeji wa Kombe la Mataifa…

Soma Zaidi »

Costech yaipa SUA jukumu wafugaji Kongwa

DODOMA; TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), imetoa ufadhili wa Sh milioni 400 kwa ajili ya Mradi wa…

Soma Zaidi »

BOT yahimiza wakulima kuchangamkia mikopo ya riba nafuu

DODOMA: BENKI Kuu Tanzania (BOT) imewahimiza wakulima kuchangamkia mikopo ya riba nafuu inayotolewa na mabenki nchini kupitia fedha za Mfuko…

Soma Zaidi »

Watanzania wahamasishwa kutumia vyakula vya asili

LINDI; NAIBU Waziri wa Kilimo David Silinde amewaasa Watanzania kutumia vyakula vya asili ili kuhamasisha matumzi endelevu ya mbegu za…

Soma Zaidi »
Back to top button