Featured

Featured posts

Musk: USAID ni shirika la kihalifu

MAREKANI – Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk amesema anaamini Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ni…

Soma Zaidi »

Shambulio la M23 laua wanajeshi wawili wa Tanzania

Vikundi vya Tanzania vilivyopo DRC vipo salama, imara na vinaendelea kutekeleza majukumu yake

Soma Zaidi »

“CCM ina mengi ya kujivunia miaka 48”

DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina mengi ya kujivunia katika kuadhimisha miaka 48 yapo ya chama hicho,…

Soma Zaidi »

Aston Villa wakamilisha usajili wa Rashford

Aston Villa wanakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji Marcus Rashford kutoka Manchester United. Rashford anajiunga na Villa kwa mkopo wa miezi…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tanzania imejipanga maandalizi CHAN, AFCON

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga vyema kukamilisha maandalizi yote muhimu ikiwemo miundombinu kwa ajili ya Fainali za Ubingwa…

Soma Zaidi »

Chato wamchangia Samia mil 1.4/- fomu ya urais

WANANCHI wilayani Chato mkoani Geita wamejitokeza kumchangia Rais Samia Suluhu Hassan kiasi cha Sh milioni 1.4 kwa ajili ya kuchukua…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu ashiriki Bunge Bonanza

Soma Zaidi »

Bunge lampongeza Samia mkutano wa nishati Dar

BUNGE limepitisha Azimio la Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika (Misheni 300) hapa…

Soma Zaidi »

Samia, wenzake walaani machafuko DR Congo

RAIS Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), wamekutana…

Soma Zaidi »

Rubani aing’arisha Tanzania ndani ya MUFASA

DAR ES SALAAM: AHMAD Ally, anayejulikana pia kama @kakamussa, ni mpiga picha mashuhuri na rubani wa drone ambaye ameiletea heshima…

Soma Zaidi »
Back to top button