Waziri Mkuu ashiriki Bunge Bonanza

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 01 ameshiriki katika mazoezi ya pamoja kwenye Tamasha la Michezo la Bunge Bonanza, lililofanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari John Merlin jijini Dodoma. (Picha na Oifisi ya Waziri Mkuu)
Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *