Infographics

Rais Samia atua Arusha

RAIS Samia Suluhu Hassan ametua mkoani Arusha na kuahidi kufungua njia katika kupunguza tatizo la ajira kwa vijana nchini. Amesema,…

Soma Zaidi »

Watu milioni 5 waepushwa na dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya imeepusha watu milioni tano katika matumizi ya dawa za kulevya. Kamishna Jenerali…

Soma Zaidi »

Akayabangu, vumbi la kongo ni Viagra, zapigwa marufuku

WIZARA ya Afya kupitia Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala limepiga marufuku dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu…

Soma Zaidi »

Tax afanya ziara chuo cha Diplomasia Indonesia

WAZIRI  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax ameendelea na ziara yake nchini Indonesia  na…

Soma Zaidi »

Waandishi wa HabariLeo wachomoza tuzo za EJAT

WAANDISHI wawili kutoka Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wameteuliwa na jopo la majaji kuwania Tuzo za Umahiri wa Uandishi…

Soma Zaidi »

Mwanafunzi Panda Hili apatikana

SAA chache baada ya tangazo la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera la kutoa kitita cha sh milioni tano…

Soma Zaidi »

Shabiby: Bandarini kuna upigaji

SAA chache baada ya tangazo la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera la kutoa kitita cha sh milioni tano…

Soma Zaidi »

Sakata la mahindi, Spika atoa agizo kwa serikali

SPIKA Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameiagiza Serikali kuweka wazi kiwango cha mahindi ambacho Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula…

Soma Zaidi »

Wabunge: Mwigulu utachinja miguu au shingo?

WABUNGE wamemtaka Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kuchukua maamuzi magumu kwa kupandisha ushuru kwenye mafuta ya kula yanayotoka…

Soma Zaidi »

Mjadala wa bandari wamuibua Sheikh Khalifa

MWENYEKITI wa Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukary, Sheikh Khalifa Khamis, ameshauri mjadala kuhusu uendelezaji wa bandari ujikite kwa kujenga…

Soma Zaidi »
Back to top button