Jamii

Samia awakumbuka watoto waishiyo kwenye mazingira magumu

DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan amewafuturisha Watoto wanaolelewa katika Makao ya Taifa ya Watoto Kikombo Dodoma. Akizungumza wakati wa Iftari…

Soma Zaidi »

Mama Dangote wa Same adakwa kilimo cha mirungi

KILIMANJARO: MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni…

Soma Zaidi »

Radi yaua mtoto miaka 9 akiwinda ndege

MWANAFUNZI wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo iliyopo wilayani Bukombe Mkoa wa Geita, Ibrahim Masumbuko (09) amefariki dunia…

Soma Zaidi »

Vyakula vyenye sukari, uchafu sababu watoto kutoboka meno

MATATIZO ya kutoboka kwa meno ni makubwa miongoni mwa watoto, sababu kubwa ni kutokana na tabia za kula vyakula vyenye…

Soma Zaidi »

INEC yaeleza sababu kuongeza muda Dar

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeongeza siku mbili kuboresha daftari la kudumu la wapigakura mkoani Dar es Salaam…

Soma Zaidi »

Picha: Matukio mbalimbali uzinduzi Sera ya Taifa ya Maji

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali wakati Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akizindua Sera ya Taifa ya Maji 2002,…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tumewekeza makubwa elimu

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imeweka kipaumbele kikubwa cha uwekezaji katika sekta ya elimu nchini, kujenga jamii madhubuti yenye…

Soma Zaidi »

‘Meno ni hazina yaking’oka kuna matamshi yatakushinda’

MTWARA; JE wajua kuwa ukiwa umepoteza meno au kung’oa kuna matamshi au maneno huwezi kutamka wakati unaongea? Chama Cha Wataalamu…

Soma Zaidi »

VETA yajipanga kufanya makubwa zaidi

DAR ES SALAAM; MAMLAKA ya Elimu na Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) imeahidi kufanya maboresho makubwa katika mfumo wake wa…

Soma Zaidi »

Dk Biteko aonya hasara upotevu wa maji

DAR ES SALAAM: UPOTEVU wa maji unaosababishwa na wizi umeendelea kuwa changamoto kubwa kwa Mamlaka za Maji, baada ya kubainika…

Soma Zaidi »
Back to top button