Jamii

Mipira 1,402 yasambazwa michezo mikoani

DAR ES SALAAM: SERIKALI kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imegawa jumla ya mipira 1,404 katika mikoa 26 ya…

Soma Zaidi »

‘Tufuatilie nyumba za starehe kudhibiti maadili’

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua madhubuti kwa kuwakagua na kuwafuatilia kwa karibu wamiliki wa nyumba za starehe pamoja…

Soma Zaidi »

INEC yatoa vigezo 6 taasisi kutoa elimu mpigakura

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vigezo sita vya kuzingatiwa na taasisi za kiraia zinazotarajia kutoa elimu ya…

Soma Zaidi »

Watoto 29 wazaliwa mkesha wa Pasaka

DAR ES SALAAM; WATOTO 29 wamezaliwa katika Hospitali ya Taifa Upanga, Mloganzila, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, Temeke na…

Soma Zaidi »

Gari ladakwa na shehena ya bangi likitoka Malawi

MBEYA; JESHI la Polisi mkoani Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya (DCEA) wamekamata gari…

Soma Zaidi »

Waziri Gwajima atia mguu sakata mabinti wa chuo

DAR ES SALAAM; WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ameingilia kati suala la…

Soma Zaidi »

Saba wafa ajali ya ambulansi, toyo Mafinga

IRINGA; WATU saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyohusisha gari la wagonjwa lenye…

Soma Zaidi »

Mchungaji auawa tuhuma ushirikina

MBEYA; WANANCHI wenye hasira katika Kata ya Ilemi jijini Mbeya wamemuua kwa kumpiga hadi kufa, Mchungaji Golden Ngumbuke (66) wa…

Soma Zaidi »

Lundenga afariki dunia, Miss Tanzania wamlilia

MRATIBU wa zamani wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefariki dunia leo Jumamosi April 19, 2025, huku waandaaji wa…

Soma Zaidi »

Wakristo wahimizwa kusimamia haki, ukweli

DAR ES SALAAM – VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button