Africa

Mbunge Tanzania ashinda mbio mita 1,500 Kenya

MBUNGE wa Bunge la Tanzania, Anatropia Theonest ameibuka mshindi wa riadha kwa wanawake katika mashindano ya mabunge ya Nchi za…

Soma Zaidi »

SADC, EAC zatakiwa kuendeleza matumizi bora ya nishati

WAZIRI  wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amezitaka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki( EAC) na Jumuiya ya Maendeleo…

Soma Zaidi »

Nchi za SADC, EAC zatakiwa kuweka mipango nishati safi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema suala la matumizi bora ya nishati linapaswa kuwepo kwenye…

Soma Zaidi »

NeST yaibuka mfumo bora zaidi wa ununuzi wa umma Afrika

MMFUMO wa Usimamizi wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) umeshinda tuzo ya “Mfumo Bora Zaidi wa Ununuzi wa Umma Barani…

Soma Zaidi »

Kampuni Kenya yakamilisha umiliki wa ISP Habari ya Arusha

NAIROBI: Kampuni ya utoaji huduma ya mtandao ya Kenya, Mawingu imeitwaa kampuni ya IPS Habari yenye makao makuu jijini Arusha…

Soma Zaidi »

Rais Samia ashiriki mjadala Kilimo barani Afrika

Soma Zaidi »

Mrembo Rwanda anaswa kuendesha gari amelewa

Mrembo aliyetwaa taji la Miss Rwanda wa mwaka 2022 Divine Muheto akamatwa kwa kuendeshea gari akiwa amelewa Polisi nchini Rwanda…

Soma Zaidi »

Rais Ruto amteua Kindiki kuwa naibu rais

RAIS wa Kenya, William Ruto amemteua Profesa, Kithure Kindiki kuwa naibu rais akichukuwa nafasi ya Rigathi Gachagua, ambaye aliondolewa madarakani…

Soma Zaidi »

Maseneta wamfuta kazi Naibu Rais Kenya

NAIROBI, Kenya – Bunge la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kazini Naibu Rais wa Taifa hilo, Rigathi Gachagua. Wabunge…

Soma Zaidi »

Maseneta waendelea na hoja kumuondoa naibu rais

BUNGE la Seneti leo Alhamis limeppiga kura kuendelea na kesi ya kumuondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila yeye kuwepo bungeni.…

Soma Zaidi »
Back to top button