Amerika

Trump aiburuza kortini CNN, adai fidia ya Sh tril 1.11

RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump amekishtaki kituo cha habari cha CNN akidai fidia ya dola milioni 475 (Sh…

Soma Zaidi »

Sh Bil 34 kuwezesha usafiri kwa wajawazito

TANZANIA itapokea msaada wa Dola Milioni 15 (takribani shilingi Bilioni 34), kutoka Kampuni ya Vodafone, ili kuwezesha usafiri wa dharura…

Soma Zaidi »

Dk Mpango ataka wanaoishi Marekani wafuate sheria

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango, amewaasa Watanzania waishio Marekani na nchi nyingine duniani, kuishi kwa kufuata sheria za nchi…

Soma Zaidi »

‘Malkia ataendelea kukumbukwa kwa upole wake’

RAIS wa Marekani, Joe Biden, ameandika katika ukurasa wake wa Twitter, akisema Malkia Elizabeth II wa Uingereza, ataendelea kukumbukwa kwa…

Soma Zaidi »

Samia, dunia wamlilia Malkia Elizabeth II

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa familia ya kifalme kwa kifo cha Malkia Elizabeth II (96) wa…

Soma Zaidi »

NASA yabainisha maeneo 13 kutua mwezini

NASA imetangaza kuwa imechagua maeneo 13 yaliyoko katika ncha ya kusini mwa Mwezi ambayo yatatumika kama vituo vya wanaaga wa…

Soma Zaidi »
Back to top button