Kimataifa

Marekani yaihakikishia Ukraine msaada zaidi

MAREKANI imeihakikishia Ukraine juu ya usafirishaji wa mifumo miwili kati ya minane ya ulinzi wa anga ya NASAMS ambayo iliahidi…

Soma Zaidi »

Aponda uchunguzi wa mlipuko Crimea

OFISA wa ngazi ya juu wa Ukraine, ametaja uchunguzi wa Urusi kuhusu mlipuko wa juma lililopita ni “upuuzi. ” Mlipuko…

Soma Zaidi »

Samia, Ruto wakubaliana mambo 10

RAIS Samia Suluhu Hassan na Rais wa Kenya, Dk William Ruto wamewaagiza mawaziri wao kuhakikisha ifikapo Desemba mwaka huu, wawe…

Soma Zaidi »

Jen. Armageddon kuongoza vikosi vya urusi

JENERALI wa Jeshi la Urusi Sergey Surovikin ama Jen. Armageddon, ambaye amekuwa akiongoza kundi la ‘Kusini’ la wanajeshi nchini Ukraine…

Soma Zaidi »

Putin ataka zaidi kutoka nchi za Magharibi

RAIS wa Urusi Vladimir Putin anataka kufanya “mapatano mapya na makubwa” na nchi za Magharibi ili kufuta fedheha ya kipindi…

Soma Zaidi »

Benki ya Dunia yatoa mabilioni Dar

BENKI ya Dunia imetoa mkopo wa Dola za Marekani milioni 200 (Sh bilioni 466.387) kugharamia mradi wa Bonde la Msimbazi…

Soma Zaidi »

Watanzania watatu wawania tuzo Qatar

BARAZA la Kiswahili la Taifa (BAKITA) limesema ushiriki wa Watanzania watatu katika Tuzo za Hamad mwaka huu kwa kutafsiri kitabu…

Soma Zaidi »

Serikali ya Uganda yajitenga na ‘utashi’ wa mtoto wa Museveni

UGANDA imejitenga na kauli za mtandaoni za mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba kuhusu uwezo wake kuiteka Nairobi ndani…

Soma Zaidi »

Trump aiburuza kortini CNN, adai fidia ya Sh tril 1.11

RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump amekishtaki kituo cha habari cha CNN akidai fidia ya dola milioni 475 (Sh…

Soma Zaidi »

Mgomo Total waendelea siku ya Saba

MGOMO katika kampuni ya nishati ya Ufaransa ya TotalEnergies umeendelea kwa siku ya saba, na kutatiza ugavi wa nishati ambao…

Soma Zaidi »
Back to top button