Kimataifa

Safari za ndege kati ya India na China kuanza rasmi

INDIA : SERIKALI ya India na China zimekubaliana kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja za abiria kati ya…

Soma Zaidi »

MAREKANI : Waendesha mashtaka kumi wafutwa kazi

MAREKANI : MAAFISA wa Wizara ya Sheria ya Marekani wametangaza kuwafuta kazi waendesha mashtaka kumi waliokuwa wakisimamia kesi za jinai…

Soma Zaidi »

Serikali ya DRC yathibitisha uwepo wa Rwanda Goma

GOMA : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano yanayoendelea…

Soma Zaidi »

AfDB yamsifu Samia nishati safi, umeme

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia Afrika.…

Soma Zaidi »

CONGO: Serikali kuimarisha usalama Goma

CONGO: SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema inajitahidi kuepusha mauaji mjini Goma, lakini haitaachia eneo lolote baada ya…

Soma Zaidi »

EAC kujadili mgogoro wa DR Congo

DARESSALAAM : RAIS  wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kanda ya Afrika Mashariki (EAC)…

Soma Zaidi »

Urusi , China wampongeza Lukanshenko

ULAYA : RAIS wa Urusi Vladimir Putin na yule wa China Xi Jinping wamempongeza rais wa Belarus Alexander Lukashenko kwa…

Soma Zaidi »

EU kuendelea kuiwekea vikwazo Urusi

UBELGIJI : MAWAZIRI wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels, Ubelgiji, kujadili iwapo vikwazo dhidi ya…

Soma Zaidi »

WFP yasitisha shughuli zake Goma

GOMA: SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limelazimika kusitisha shughuli zake mjini Goma na eneo…

Soma Zaidi »

Waasi M23 wateka Goma, mpaka umefungwa

GOMA : MPAKA kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) na Rwanda umefungwa kufuatia mashambulizi ya waasi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button