Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Samia kuifanya Ruvuma kitovu cha biashara

SONGEA : MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema wananchi wakimchagua, Mkoa wa Ruvuma utakuwa kitovu…

Soma Zaidi »

Majaliwa afungua maonesho ya madini Geita

GEITA : WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2025 amefungua maonesho ya nane ya teknolojia ya madini kwa mwaka 2025…

Soma Zaidi »

Shoo ataka wadau wajifunze teknolojia mpya

GEITA : MAONESHO ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini Geita yanatarajiwa kuzinduliwa kesho na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…

Soma Zaidi »

Wananchi watakiwa kuwapokea wawekezaji

KIGOMA: KIONGOZI wa Mbio za mwenge wa Uhuru, Ismail Ussi amewataka wananchi kuwapa ushirikiano wawekezaji wanaotekeleza miradi katika maeneo yao…

Soma Zaidi »

Kampuni ya gesi yazindua jiko la nishati safi

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Tanzania Communities Rise Foundation(TCRF) wamezindua jiko linatumia mfumo wa nishati safi katika…

Soma Zaidi »

Mamlaka Tanzania, Algeria zajadili kuinua sekta ya petroli, gesi asilia

ALGIERS, ALGERIA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli nchini (PURA) na Mamlaka ya Udhibiti wa Petroli Algeria (ARH)…

Soma Zaidi »

Ruvuma yafikiwa elimu ya mazingira madini ya Uranium

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu ya kimazingira na afya kwa vijiji viwili vya…

Soma Zaidi »

Balozi, bosi Sonatrach wateta fursa za uwekezaji sekta ya mafuta, gesi asilia

Algiers, Algeria: Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji wa Kampuni…

Soma Zaidi »

PURA, ALNAFT wakutana Algiers kujadili namna ya kuinua sekta ya gesi asilia

Algiers, Algeria: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti…

Soma Zaidi »

Wawekezaji migodini Handeni watakiwa kuzingatia usalama

TANGA; Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, amewataka wawekezaji wa migodi ya madini kuhakikisha wanazingatia kikamilifu kanuni na miongozo…

Soma Zaidi »
Back to top button