Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Zaidi ya leseni 1,000 za madini zatolewa Kahama

KAHAMA: HALMASHAURI tatu za Mkoa wa Kimadini Kahama, Ushetu, Msalala na Kahama zimetoa jumla ya leseni 1356, huku fursa za…

Soma Zaidi »

SONGOSONGO| Wajumbe PURA wakunwa na miradi ya CSR

LINDI: Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imefanya ziara maalum Songo Songo, Lindi kujionea…

Soma Zaidi »

PUMA Tanzania yaungana na Samia matumizi ya nishati safi

Dodoma. Kampuni ya Puma Energy Tanzania imezindua PumaGas jijini Dodoma, hatua inayoonyesha dhamira yake katika kuhakikisha suluhisho la nishati nafuu…

Soma Zaidi »

Watumishi madini wahimizwa uadilifu, maadili

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi wa wizara hiyo kuzingatia uadilifu na maadali katika…

Soma Zaidi »

Mavunde aagiza mradi wa Kabanga Nickel kutekelezwa kwa wakati

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imeiagiza Kampuni ya ya uchimbaji wa Madini ya Tembo Nickel Corporation LTD kuhakikisha inatekeleza kwa…

Soma Zaidi »

PURA watembelea visima vya gesi asilia Mtwara

MTWARA: MAMLAKA ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) na wadau mbalimbali wamefanya ziara mkoani Mtwara katika visima…

Soma Zaidi »

PURA kuzifungamanisha sekta za mafuta & gesi na elimu

PURA ilianzishwa kwa lengo la kudhibiti mkondo wa juu wa petroli hapa Tanzania

Soma Zaidi »

GGML, OSHA zaokoa wachimbaji wanawake Geita

KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu ya Geita (GGML) imeungana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) kuimarisha…

Soma Zaidi »

Serikali kujenga mtandao mkubwa mabomba ya gesi

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema lengo la serikali ni kuwa na mtandao mkubwa wa…

Soma Zaidi »

Korea Kusini yavutiwa mkakati nishati safi

KOREA Kusini imesema iko tayari kuunga mkono jitihada za kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia ulioasisiwa na Rais Samia…

Soma Zaidi »
Back to top button