Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wajasiriamali 30 wanufaika na mitungi ya gesi Dar

KAMPUNI Udhamini wa mchezo wa ndodi ya Mafia imegawa mitungi ya gesi kwa mama lishe eneo la Magomeni Sokoni jijini…

Soma Zaidi »

Samia atabiri mema nishati safi ya kupikia

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na kasi kubwa ya utekelezaji wa mkakati wa kusambaza nishati safi ya kupikia, nchi…

Soma Zaidi »

Serikali yavuna bil 183/-masoko ya madini

WAKATI masoko ya madini yakifikia 43, mchango wa masoko hayo umeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 8 mwaka 2018/ 2019 hadi Shilingi…

Soma Zaidi »

Biteko ateta na Jumuiya ya Wasambazaji mitungi ya gesi nchini

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na…

Soma Zaidi »

Taasisi zaongezwa miezi 5 kupika kwa nishati safi

SERIKALI imeagiza taasisi zikiwemo shule zenye wanafunzi zaidi ya 100 ziache kutumia kuni na mkaa ifikapo Juni mwaka huu. Waziri…

Soma Zaidi »

Barrick yachangia tril 3.6/- Serikalini miaka 4

KAMPUNI ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick imechangia shilingi trilioni 3.6 katika mapato ya Serikali kupitia kodi, mrabaha na…

Soma Zaidi »

REA yaanza kusambaza mitungi ya gesi 13,020 Mkoani Songwe

SONGWE : WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), kwa kushirikiana na kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited, imeanza rasmi kusambaza mitungi…

Soma Zaidi »

Biteko akaribisha wawekezaji wa kimataifa sekta nishati nchini

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewakaribisha wawekezaji kutoka nchi mbalimbali duniani kuwekeza katika sekta ya…

Soma Zaidi »

Serikali yachukua hatua kuongeza upatikanaji dhahabu GGR

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali inatambua kuwa ili kiwanda cha kusafisha madini ya dhahabu cha Geita Gold Refinery…

Soma Zaidi »

Algeria, Nigeria, Niger kusafirisha gesi asilia Ulaya

ALGERIA : MAAFISA  kutoka nchi za Algeria, Nigeria na Niger wamesaini  mikataba mipya inayolenga kuharakisha uendelezaji wa bomba kubwa la…

Soma Zaidi »
Back to top button