Tahariri

Wasambazaji mbolea wasio waadilifu wasakwe

TAKWIMU zinaonesha Tanzania imepiga hatua kubwa katika uzalishaji wa chakula nchini kiasi kwamba sasa taifa linajitosheleza kwa chakula kwa ziada…

Soma Zaidi »

EAC imedhihirisha nia thabiti amani ya DRC

WIKI iliyopita, viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) walifanya mkutano wa…

Soma Zaidi »

Hili la elimu kwa wachambuzi lisipuuzwe

HIVI karibuni bungeni Dodoma, serikali kupitia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, imeelekeza wachambuzi kwenye vyombo…

Soma Zaidi »

Uwekezaji afya uenziwe, uwe endelevu

JUZI Rais Samia alipokea Tuzo ya Gate Goalkeeper iliyotolewa na Taasisi ya Gates Foundation Dar es Salaam kutambua mchango wake…

Soma Zaidi »

EAC isichoke kusaka amani DRC

HALI ya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) bado iko kutokana na matukio ya ukosefu wa usalama, mapigano…

Soma Zaidi »

Wakurugenzi wasimamie maji yapatikane shule zote

KATIKA gazeti hili leo ipo habari kuhusu maelekezo ya Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa…

Soma Zaidi »

Nchi EAC ziimarishe umoja ajenda ya umeme

MKUTANO wa Wakuu wa Nchi wa Afrika Kuhusu Nishati unahitimishwa leo ukilenga kutoa azimio litakalowezesha Waafrika milioni 300 kufikishiwa huduma…

Soma Zaidi »

Walioitwa NIDA wachangamke kuchukua vitambulisho visifutwe

JUZI Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilifanikiwa kutuma ujumbe mfupi wa…

Soma Zaidi »

Samia kasafisha njia ya Watanzania Uchaguzi Mkuu 2025

JUZI Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na kufanya mazungumzo na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao Tanzania. Katika mazungumzo hayo Dar…

Soma Zaidi »

Kulipa kodi ni uzalendo, kila mmoja awajibike

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) juzi ilitangaza kuvunja rekodi ya makusanyo kwa mwaka 2024 baada ya kukusanya Sh trilioni 16.528…

Soma Zaidi »
Back to top button