Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wadau wakutana kujadili mkakati AFCON 2027

DAR ES SALAAM — Wadau kutoka taasisi mbalimbali za serikali na sekta binafsi wamekutana kujadili Mkakati wa Kitaifa wa maandalizi…

Soma Zaidi »

Taifa litapata vipaji Mac D marathon – Ngoka

DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Chama cha Riadha Mkoa wa Dar es Salaam (DAA),  Amani Ngoka amesema kupitia mbio za…

Soma Zaidi »

KIbadeni awahimiza vijana kulinda amani

MCHEZAJI wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Klabu ya Simba, Abdallah Kibadeni ‘Mputa’, amewataka vijana…

Soma Zaidi »

Serengeti Girls inalitaka Kombe la Dunia

MONASTIR: TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls), imemaliza kambi yake ya…

Soma Zaidi »

Wasanii wasisitizwa vyanzo vya mapato endelevu

DAR ES SALAAM: WASANII wa filamu nchini wametakiwa kujikita kutafuta vyanzo endelevu vya mapato ili kujihakikishia maisha bora ya sasa…

Soma Zaidi »

Fountain Gate yasaini dili nono na PigaBet

DAR ES SALAAM; TIMU ya Fountain Gate imeingia mkataba wa miaka minne na kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet…

Soma Zaidi »

Maofisa Michezo wasisitizwa kuibua vipaji ngazi ya chini Arusha

ARUSHA: Maofisa michezo nchini wametakiwa kuhakisha wanasimamia vyema suala la kuibua vipaji kuanzia ngazi za chini ili kuweza kuwa na…

Soma Zaidi »

Tanzania yajipanga kuongeza ushiriki FEASSSA

ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Yusuph Singo amewaelekeza maofisa…

Soma Zaidi »

Makonda mgeni rasmi Kitambi Noma Bonanza

ARUSHA: WAZIRI wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Paul Makonda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la 10 la Kimataifa la…

Soma Zaidi »

Kill Marathon 2026 yatikisa Moshi

MOSHI: Moshi ilichangamka kwa mara nyingine tena huku maelfu ya wakimbiaji, mashabiki, na watazamaji wakikusanyika kushuhudia toleo la mwaka 2026…

Soma Zaidi »
Back to top button