Mane aipeleka Semegal fainali Afcon

MOROCCO;-TIMU ya Taifa ya Senegal, imeichapa Misri bao 1-0 na kutinga fainali katika michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Morocco.
Bao hilo pekee katika mchezo huo wa nusu fainali limefungwa na Sadio Mane dakika ya 78.



