Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mpira unaumiza jamani daah!

ZANZIBAR; MPIRA UNAUMIZA, lakini mpira pia unakera. Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa mwisho hatua ya makundi Ligi…

Soma Zaidi »

Azam yakwama na pointi tisa

MOROCCO; AZAM imemaliza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa na pointi tisa, lakini imekwama kutinga robo fainali.…

Soma Zaidi »

Yanga inaongoza 1-0 ngoma mapumziko

ZANZIBAR;  NI mapumziko mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Uwanja wa New Amaan Complex kati ya Yanga…

Soma Zaidi »

Thomas Partey mengine tena!

HISPANIA: Kiungo wa zamani Arsenal, Thomas Partey, amefunguliwa mashtaka mawili ya ziada ya ubakaji yanayohusiana na madai ya tukio la…

Soma Zaidi »

Rais wa CAF awasili Tanzania

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe, amewasili nchini asubuhi hi kwa ajili ya Mkutano…

Soma Zaidi »

Bella, El Saadat, Twanga Pepeta kukiwasha Valentine Day

DAR ES SALAAM: MASHABIKI wa muziki wa dansi nchini wanatarajia kushuhudia onesho kubwa la kihistoria itakayofanyika jijini Dar es Salaam,…

Soma Zaidi »

Tukubali mwaka huu tuliteleza -Ahmed

“Tukubali kiroho safi kwamba mwaka huu tuliteleza, tukishafungua nafsi maana yake kila Mwanasimba tarehe 14 atakuja uwanjani kiroho safi,” anasema…

Soma Zaidi »

Kai Havertz nje wiki tatu

ENGLAND: Mshambuliaji wa Arsenal, Kai Havertz, amepata jeraha la misuli na anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa kipindi kingine. Mshambuliaji…

Soma Zaidi »

Viongozi wapya Chaneta kuweni wabunifu

BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka viongozi wapya wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) kuwa wabunifu ili kukuza vipaji…

Soma Zaidi »

Diamond aonesha saa ya Sh1.2 bilioni

MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, Diamond Platnumz anajiandaa kuachia wimbo wake mpya…

Soma Zaidi »
Back to top button