Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

JKCI yaadhimisha miaka 10 kwa bonanza la michezo

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imefanya bonaza katika kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa taasisi…

Soma Zaidi Β»

Maombi ya Mavokali yagusa mashabiki

DAR ES SALAAM : MSANII wa Bongo Fleva, Benjamin Mwenda maarufu kama Mavokali, ameacha gumzo mitandaoni baada ya kushiriki maombi…

Soma Zaidi Β»

Kolabo ya Amawele yarejea kwa kishindo

DAR ES SALAAM : WIMBO maarufu Amawele uliorekodiwa na wasanii Marioo, Tyla na Ch’cco mnamo Desemba 9, 2022 kupitia albamu…

Soma Zaidi Β»

Ndoa ya Nandy,Billnass bado kitendawili

DAR-ES-SALAAM : MSANII wa Bongo Fleva William Lyimo maarufu kama Billnass amekanusha tetesi zilizoenea mitandaoni kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake…

Soma Zaidi Β»

Leonardo: Simu ya mpenzi sio mali yangu

DAR-ES-SALAAM : MSANII maarufu wa vichekesho nchini Tanzania, Leonardo Datus, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Leonardo, ameibua mjadala mkali…

Soma Zaidi Β»

Simba 2025/26

DAR ES SALAAM; Kikosi cha timu ya Simba ya Dar es Salaam msimu wa mwaka 2025/26. (Picha kwa hisani ya…

Soma Zaidi Β»

Simba Day raha mara mbili!

DAR ES SALAAM; USIKU huu timu ya Simba imehitimisha tamasha lake la Simba Day kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya…

Soma Zaidi Β»

Mbosso alivyokichafua Simba Day

DAR ES SALAAM; MSANII Mbwana Kilungi β€˜ Mbosso Khan’ akitumbuiza kwenye Tamasha la Simba Day 2025 Uwanja wa Benjamin Mkapa,…

Soma Zaidi Β»

Mambo yameanza kuchangamka Simba Day

DAR ES SALAAM; Sehemu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye tamasha la klabu hiyo la Simba Day Uwanja wa Benjamin…

Soma Zaidi Β»

Viwanja vipya kuibua vipaji Zanzibar

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea na mageuzi makubwa ya michezo kwa kujenga na…

Soma Zaidi Β»
Back to top button