Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tusipoamka tutaendelea kushangilia mafanikio ya kina Pacome

TUTAENDELEA kumshangilia Pacome Zouzoua akiwa sehemu ya kikosi cha Ivory Coast kilichofuzu tena fainali za Kombe la Dunia, tangu mwaka…

Soma Zaidi »

Uongozi RT una mengi ya kufanya

MCHEZO wa riadha ni moja ya michezo inayofanya vizuri sana kuliko mchezo wowote katika nyanja ya kimataifa hapa nchini. Wengi…

Soma Zaidi »

Beatrice Alex ang’ara Miss Grand International

MWAKILISHI  wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International yanayoendelea kufanyika nchini Thailand, Miss Beatrice Alex, ameendelea kuipeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »

‘Mwana FA’ awaita mashabiki “Road to BAL’

DAR ES SALAAM:NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), amewataka mashabiki wa michezo nchini kujitokeza…

Soma Zaidi »

Agness Kahamba ‘Aggybaby’ mwigizaji bora wa kike Tanzania 2025

DAR ES SALAAM: Msanii wa Muziki na Maigizo, Agness Suleiman Kahamba maarufu kama ‘Aggybaby’ amepokea Tuzo ya Mwigizaji Bora wa…

Soma Zaidi »

Vijana wahimizwa michezo, utunzaji mazingira

KISARAWE: VIJANA wa Shule ya Sekondari Minaki iliyopo jijini Dar es Salaam, wamehimizwa kushiriki michezo lakini pia kuzingatia upandaji miti…

Soma Zaidi »

Azam FC yajipanga dhidi ya KMKM

KUELEKEA mchezo muhimu wa Kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Azam imerejea katika mazoezi makali huku ikitamba kuwa iko tayari…

Soma Zaidi »

Stars ilivyotota kwa Zambia

ZANZIBAR; Matukio mbalimbali mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 kati ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Zambia ‘Chipolopolo’…

Soma Zaidi »

Watanzania wako tayari kumchagua Samia

TABORA : MSANII wa vichekesho nchini, Kingwendu, amepongeza hamasa kubwa ya wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu,…

Soma Zaidi »

JKT Queens kambini kujiwinda na Ligi ya Mabingwa Afrika

JKT Queens imeingia kambini kujiandaa na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza mapema Novemba nchini Algeria.…

Soma Zaidi »
Back to top button