Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali yasitisha uchaguzi TOC

DODOMA: Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesitisha rasmi mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) uliokuwa…

Soma Zaidi »

Tembo Warriors: Kenya imetupa funzo

BURUNDI: NAHODHA wa Timu ya Taifa ya soka kwa watu wenye ulemavu, Tembo Warriors, Bashra Alombile, amekiri kuwa matokeo ya…

Soma Zaidi »

Nandy, Billnass waibua mshangao mitandaoni

KATIKA hali ya kushangaza na inayowashtua mashabiki wengi wa muziki wa Bongo Fleva, wanandoa maarufu William Lyimo ‘Billnass’ na mkewe…

Soma Zaidi »

TPSA yaomba msaada wa Sh milioni 15.6

DAR ES SALAAM : CHAMA cha Kuogelea kwa Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TPSA) kimetoa ombi la msaada wa Sh milioni…

Soma Zaidi »

Rose Ndauka awashukuru watanzania

TANGA: MSANII maarufu wa Bongo Fleva, Rose Ndauka, ametoa shukrani kwa mashabiki na Watanzania wote baada ya kuokolewa salama katika…

Soma Zaidi »

Waamuzi kutoka nje waendelee kuchezesha Yanga, Simba

HISTORIA iliandikwa Juni 25, mwaka huu katika soka la Tanzania kwa waamuzi kutoka Misri kuchezesha mechi ya watani wa jadi,…

Soma Zaidi »

Stars yawaduwaza Congo Brazzaville

CONGO BRAZZAVILLE: TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefungana bao 1-1 na Congo Brazzaville katika mchezo wa…

Soma Zaidi »

Makalla akagua uwanja wa AFCON , ujenzi wafikia 60%

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, leo Ijumaa Septemba 5, 2025 ametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa…

Soma Zaidi »

DC Arusha ataka uadilifu kamati ya michezo wilaya

ARUSHA: MKUU wa Wilaya Arusha Mjini, Joseph Modest Mkude ameisisitiza kamati ya michezo wilaya kufanya kazi kwa uadilifu na bidii…

Soma Zaidi »

Magori Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Simba

MWEKEZAJI na Rais wa Simba ya Dar es Salaam, Mohamed Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi…

Soma Zaidi »
Back to top button