Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kivumbi mtoano kubaki Ligi Kuu leo

MCHEZO wa kwanza wa mtoani kuwania kubaki Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Fountain Gate na Tanzania Prisons unapigwa leo…

Soma Zaidi »

Yanga bingwa 2024/25

DAR ES SALAAM; YANGA imetetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2024/25, baada ya leo kuibuka na…

Soma Zaidi »

Mnyama yupo bwana!

DAR ES SALAAM; HATIMAYE Simba imewapa faraja mashabiki wa mpira waliokuwa na hofu kuhusu mchezo wa leo Ligi Kuu Tanzania…

Soma Zaidi »

Wanamichezo sita wapigana vikumbo urais TFF

DAR ES SALAAM; WANAMICHEZO sita wamejitokeza kuwania urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaotarajiwa kufanyika Agosti 16,…

Soma Zaidi »

Dar Star bingwa Samia, soka bonanza

DAR ES SALAAM: TIMU ya soka ya Dar Star ya Ilala imeibuka mabingwa Bonanza maalum la kuwapongeza Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Moto utawaka Yanga v Simba

DAR ES SALAAM; MWAMUZI Amin Mohamed Omar wa Misri aliyetangazwa kuchezesha mechi ya watani Yanga v Simba Jumatano wiki hii…

Soma Zaidi »

Waamuzi Yanga v Simba wanatoka Misri

DAR ES SALAAM; MWAMUZI Amin Mohamed Omar kutoka nchini Misri atasimamia sheria zote za soka katika pambano la watani wa…

Soma Zaidi »

Taasisi yafanikisba bonanza ‘Asante Mama Super Cu’

DAR ES SALAAM: TAASISI ya KIK Football Foundation kwa kushirikiana na mdhamini mkuu State Group Holdings Ltd wamefanikisha Bonanza la…

Soma Zaidi »

Mgombea urais TFF aomba uchaguzi usimamishwe

DAR ES SALAAM; MGOMBEA urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Shija Richard anatarajia kuwasilisha barua rasmi Baraza…

Soma Zaidi »

Ufunguzi CHAN kufanyika Dar

UFUNGUZI wa mashindano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2025 utafanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Shirikisho…

Soma Zaidi »
Back to top button