Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ibenge: Azam kaeni mkao wa kula

AZAM FC imemtambulisha Florent Ibenge (63) kuwa Kocha Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza kulingana na…

Soma Zaidi »

Karia mgombea pekee urais TFF

DAR ES SALAAM; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ndiye mgombea pekee wa nafasi hiyo…

Soma Zaidi »

Mayay na wenzake kukatwa Uchaguzi Mkuu TFF

MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Kiomoni Kibamba amesema mgombea asiyekuwa na wadhamini zaidi…

Soma Zaidi »

Diogo Jota afariki kwa ajali

MSHAMBULIAJI wa mabingwa wa Ligi Kuu England, Diogo Jota amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajali ya gari akiwa…

Soma Zaidi »

Maandalizi ‘Great Ruaha Marathon’ yashika kasi

IRINGA: Maandalizi ya msimu wa nne wa Great Ruaha Marathon yanaendelea kwa kasi kubwa huku tukio hilo linalojizolea hadhi ya…

Soma Zaidi »

Arsenal yahamia kwa Eze

LONDON: KLABU ya Arsenal wanawasiliana na kambi ya Eberechi Eze kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo majira ya joto.   Mazungumzo…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi aizawadia Yanga mil 100/-

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga Sh milioni…

Soma Zaidi »

Matukio mbalimbali bonanza la watumishi TSN

DAR ES SALAAM. MATUKIO mbalimbali wakati wa bonanza maalumu kwa watumishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Washindi ZIFF 2025 kujulikana kesho

ZANZIBAR: BAADA ya siku tano za hekaheka ndani ya Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), msimu wa 28, tamasha…

Soma Zaidi »

Majaliwa awapongeza Yanga

DODOMA — Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepongeza mchango wa michezo nchini huku akizitaja klabu za Yanga na Simba, pamoja na…

Soma Zaidi »
Back to top button