Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

‘Changamoto 22 Muungano zimepatiwa ufumbuzi’

DODOMA; SERIKALI imesema jumla ya changamoto 22 za Muungano zimepatiwa ufumbuzi. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Naibu Waziri Ofisi…

Soma Zaidi »

Halmashauri ya Wilaya Geita kinara mashindano ya Umitashumta

GEITA: HALMASHAURI ya wilaya ya Geita imetangazwa kuwa mshindi wa jumla wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule…

Soma Zaidi »

Hili pia tumelikosa dah!

MANYARA; HILI tunabeba! Ilikuwa kaulimbiu ya Simba kuelekea mchezo wa fainali Kombe la Shirikisho la Afrika dhidi ya RS Berkane…

Soma Zaidi »

Simba yamewakuta huko!

MANYARA; MCHEZO wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la CRDB umemalizika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara. Singida Black Stars imeibugiza…

Soma Zaidi »

Mwisho wa majigambo Ulaya leo

FAINALI ya kibabe ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) kati ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa na Inter…

Soma Zaidi »

Mwandishi HabariLEO Mjumbe Mkutano Mkuu TFF

MWANDISHI wa michezo wa HabariLEO, Rahel Pallangyo amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanza…

Soma Zaidi »

Wachezaji 28 Stars kuingia kambini

KIKOSI cha wachezaji 28 wa timu ya Taifa, (Taifa Stars) kitaingia kambini Juni 2 kwa ajili mchezo wa kirafiki dhidi…

Soma Zaidi »

AZIZ KI: Atakumbukwa kwa mengi Yanga

WAFUATILIAJI wa soka Tanzania, wengi wao watakumbuka utambulisho wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki uliofanyika usiku kwa…

Soma Zaidi »

Twiga Stars yajiweka sawa kuivaa DR Congo

DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Bakari Shime, amesema kikosi chake kimejiandaa ipasavyo…

Soma Zaidi »

Edna Lema afikiria kuachana na ukocha

DAR ES SALAAM: KOCHA Msaidizi wa Yanga Princess, Edna Lema, ametangaza wazi kuwa huenda akastaafu kazi ya ukocha ndani ya…

Soma Zaidi »
Back to top button