Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Dar Leopards kupimana na Les Gaulois Jumamosi

DAR ES SALAAM– TIMU ya mchezo wa Rugby au Raga ya DAR Leopards inatarajia kuumana na Les Gaulois de Nairobi…

Soma Zaidi »

Bondia Rahim atamba hakuna anayemuweza

BONDIA chipukizi Rahim Omar amewapa changamoto mabondia waliopo kwenye uzani wake na kuwaita kupambana nao ikiwa wanajiona wao ni bora…

Soma Zaidi »

Tunahuzunika pamoja!

ZANZIBAR: Tulifurahi pamoja. Tunazunika pamoja! Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa marudiano fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati…

Soma Zaidi »

Mapumziko: Simba 1 Berkane 0

ZANZIBAR; SIMBA 1 RS Berkane 0 hivi sasa ni mapumziko Uwanja wa New Amaan Complex mchezo wa fainali Kombe la…

Soma Zaidi »

Aziz Ki atambulishwa Wydad

MOROCCO; KIUNGO mshambuliaji wa Yanga ya Dar es Salaam, Aziz Ki leo Mei 25, 2025 ametambulishwa rasmi katika timu ya…

Soma Zaidi »

Watanzania wanawaamini

ZANZIBAR; Wachezaji wa Simba wakipasha mwili moto muda mfupi kabla ya mchezo dhidi ra RS Berkane leo Uwanja wa New…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi kuwazadia Simba Sh Mil.267

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa dola 100,000 za Marekani…

Soma Zaidi »

Mwamba Mining wajitosa kuinua vipaji Geita

GEITA: KAMPUNI ya Mgodi wa Mwamba Mining iliyopo katika kata ya Nyarugusu wilayani Geita imezindua mpango maalumu wa kuinua na…

Soma Zaidi »

Ngoma aibeba Simba mabegani

ZANZIBAR : KATIKA anga la mpira wa miguu wa Afrika, Jumapili hii ya Mei 25, macho na masikio yatakuwa visiwani…

Soma Zaidi »

Kila la heri Simba, Watanzania wako nyuma yenu

SIMBA ina kila sababu ya kushinda Kombe la Shirikisho Afrika kwenye ardhi yake ya nyumbani. Baada ya zaidi ya miaka…

Soma Zaidi »
Back to top button