Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ufunguzi CHAN kufanyika Dar

UFUNGUZI wa mashindano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2025 utafanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Shirikisho…

Soma Zaidi »

“Uchaguzi Mkuu uwape kipaumbele wanaothamini michezo”

IRINGA: Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga, amewataka Watanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 unazaa…

Soma Zaidi »

Yanga, Simba ng’adu kwa ng’adu kileleni

MBEYA:  MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2025/26 kati ya Yanga na Simba zinazidi kunoga…

Soma Zaidi »

Watanzania waalikwa mbio za Great Ruaha

IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amewataka wananchi wa Iringa na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kujiandikisha…

Soma Zaidi »

CTIDO mabingwa wa ligi wilaya Arusha

ARUSHA: TIMU ya CTIDO imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi ya Wilaya ya Arusha baada ya kuisambaratisha timu ya Uhasibu Academy…

Soma Zaidi »

Mvutano wa Kariakoo Derby wazua mabadiliko makubwa TPLB

DAR ES SALAAM — Katika kile kinachoonekana kuwa ni matokeo ya mvutano mkali kuhusu upangaji wa mechi ya Kariakoo Derby,…

Soma Zaidi »

Arusha mguu sawa UMISSETA Taifa

ARUSHA: MKOA wa Arusha umekamilisha maandaalizi yake kwa ajili ya mashindano ya kitaifa ya Umoja michezo kwa shule za Sekondari…

Soma Zaidi »

Kriketi wanawake watinga nusu fainali Kwibuka

TIMU ya taifa ya wanawake ya kriketi ya Tanzania imetinga nusu fainali katika mashindano ya Kwibuka nchini Rwanda kwa ushindi…

Soma Zaidi »

Dabi ya Kariakoo yagusa wabunge

DAR ES SALAAM; MCHEZO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba uliopangwa kufanyika wikiendi hii Uwanja wa…

Soma Zaidi »

Serikali: Tumejipanga Stars kung’ara Afcon 2027

DODOMA; Serikali imesema imejipanga kuhakikisha timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ haishiriki tu, bali inashindana kwa kiwango cha juu…

Soma Zaidi »
Back to top button