Bunge

Wavuvi watakiwa kutumia fursa za mikopo

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema fursa za kukopa zipo, hivyo wajasiriamali wakiwemo wavuvi wazitumie. Ametoa kauli hiyo leo bungeni,…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tunakoelekea SGR ni kuzuri

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema mambo mazuri yanakuja kuhusiana an reli ya kisasa ya SGR. Ametoa kauli hiyo leo…

Soma Zaidi »

‘Treni ikifika Dodoma saa 1;30 asubuhi itasaidia kukuza uchumi’

DODOMA; NAIBU Spika Mussa Azzan ‘Zungu’, amesema kama Shirika la Reli nchini (TRC), litabadilisha ratiba za safari zake ya treni…

Soma Zaidi »

Bunge laidhinisha bajeti Wizara ya Fedha

DODOMA; BUNGE limeidhinisha bajeti ya Wizara ya Fedha yenye makadirio ya zaidi ya Sh  trilioni 20 kwa mwaka wa fedha…

Soma Zaidi »

Kubeti kwaingiza mapato Sh Bil.17

MICHEZO ya kubahatisha imeingiza serikalini kiasi cha Sh Bil.17.42 kwa mwaka wa fedha 2024/25, huku ikipanga kukusanya Sh Bil.29.89 kwa…

Soma Zaidi »

Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Sh Tril.20

DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa…

Soma Zaidi »

Raia nchi 71 ruksa kuingia Tanzania bila viza

DODOMA; RAIA wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia Tanzania, Bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula ametoa…

Soma Zaidi »

Serikali yaeleza mpango kukabili majanga ya moto

DODOMA; SERIKALI imesema mpango wake ni kusambaza magari ya zimamoto na uokoaji kwa wilaya zote nchini kwa ajili ya kukabiliana…

Soma Zaidi »

Mbunge ahoji CAG aagizwe akague Saccos ya Polisi

DODOMA; MBUNGE wa Ndanda, Cecil Mwambe ameuliza swali bungeni kwa ni Serikali isiagize Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za…

Soma Zaidi »

Sheria Bima ya Afya kwa wote kuanza 2025/26

DODOMA; WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote utaanza kwenye bajeti ya…

Soma Zaidi »
Back to top button