Siasa

‘Treni ikifika Dodoma saa 1;30 asubuhi itasaidia kukuza uchumi’

DODOMA; NAIBU Spika Mussa Azzan ‘Zungu’, amesema kama Shirika la Reli nchini (TRC), litabadilisha ratiba za safari zake ya treni…

Soma Zaidi »

Viongozi Chadema waliohamia Chaumma wakana kununuliwa

VIONGOZI waliotoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wamekanusha tuhuma za kununuliwa…

Soma Zaidi »

Bunge laidhinisha bajeti Wizara ya Fedha

DODOMA; BUNGE limeidhinisha bajeti ya Wizara ya Fedha yenye makadirio ya zaidi ya Sh  trilioni 20 kwa mwaka wa fedha…

Soma Zaidi »

Heshima ni muhimu katika kudai haki, kutoa ushauri

Nikiwa Mtanzania na mtaaluma mzamivu wa maendeleo ya binadamu na afya bora ya akili, nimewiwa tukumbushane kuhusu kudai haki, kuheshimiana…

Soma Zaidi »

Kubeti kwaingiza mapato Sh Bil.17

MICHEZO ya kubahatisha imeingiza serikalini kiasi cha Sh Bil.17.42 kwa mwaka wa fedha 2024/25, huku ikipanga kukusanya Sh Bil.29.89 kwa…

Soma Zaidi »

Ilani ziwe mwongozo wa kampeni uchaguzi mkuu

MEI 30, mwaka huu wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa wamepitisha na kuzindua rasmi ilani ya…

Soma Zaidi »

Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Sh Tril.20

DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa…

Soma Zaidi »

Raia nchi 71 ruksa kuingia Tanzania bila viza

DODOMA; RAIA wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia Tanzania, Bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula ametoa…

Soma Zaidi »

Serikali yaeleza mpango kukabili majanga ya moto

DODOMA; SERIKALI imesema mpango wake ni kusambaza magari ya zimamoto na uokoaji kwa wilaya zote nchini kwa ajili ya kukabiliana…

Soma Zaidi »

Mbunge ahoji CAG aagizwe akague Saccos ya Polisi

DODOMA; MBUNGE wa Ndanda, Cecil Mwambe ameuliza swali bungeni kwa ni Serikali isiagize Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za…

Soma Zaidi »
Back to top button