Dk Samia aongoza kikao Kamati Kuu CCM

DODOMA; Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu Mei 26 2025.