Siasa

Makalla: Ilani mpya ya CCM yabeba matumaini ya Watanzania

KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha…

Soma Zaidi »

‘Sido inatoa mafunzo ya vifungashio wajasiriamali’

DODOMA; SHIRIKA la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO), linatekeleza mkakati wa mafunzo ya ufungashaji wa bidhaa kwa wajasiriamali. Bunge limeelezwa.…

Soma Zaidi »

‘Upo utaratibu kutambua walio sekta isiyo rasmi’

DODOMA; MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA), ina utaratibu wa kutambua walipa kodi kulingana na mitaa. Bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa…

Soma Zaidi »

‘Changamoto 22 Muungano zimepatiwa ufumbuzi’

DODOMA; SERIKALI imesema jumla ya changamoto 22 za Muungano zimepatiwa ufumbuzi. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Naibu Waziri Ofisi…

Soma Zaidi »

Ilani CCM 2025-2030 imebeba matumaini – Makalla

MONDULI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2025/2030 waliyoizundua imebeba matumaini kwa watanzanania kwani imebeba mambo…

Soma Zaidi »

Makonda: Najivunia Makalla kunirithi uenezi

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Makalla alimshika mkono alipopeleka wazo la kuanzisha matawi ya vyuo vikuu…

Soma Zaidi »

Sheria makosa ya uhujumu uchumi kurekebishwa

DODOMA; BUNGE mchana huu limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025, huku miongoni mwa sheria…

Soma Zaidi »

Sheria 9 kufanyiwa marekebisho

DODOMA; Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025, huku…

Soma Zaidi »

Wavuvi watakiwa kutumia fursa za mikopo

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema fursa za kukopa zipo, hivyo wajasiriamali wakiwemo wavuvi wazitumie. Ametoa kauli hiyo leo bungeni,…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tunakoelekea SGR ni kuzuri

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema mambo mazuri yanakuja kuhusiana an reli ya kisasa ya SGR. Ametoa kauli hiyo leo…

Soma Zaidi »
Back to top button