Siasa

CCM yahimiza mshikamano vyama vya ukombozi

GAUTENG : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kukuza ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika.

Soma Zaidi ยป

Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

OKTOBA 29, 2025 ndiyo siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Madiwani kwa…

Soma Zaidi ยป

Majaliwa atembelea ubalozi wa Tanzania UAE

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25, 2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abu…

Soma Zaidi ยป

CCM kufanya mkutano mkuu maalumu kesho

DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi ( CCM ) kimesema kesho Julai 26, 2025 kitafanya Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama hicho kwa…

Soma Zaidi ยป

TSN, Kituo cha utamaduni Iran kushirikiana biashara

DAR ES SALAAM โ€“ Ujumbe kutoka Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) umetembelea Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu…

Soma Zaidi ยป

Wajumbe CCM sasa โ€˜kufyekaโ€™ wagombea Agosti 4

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi, udiwani wa kata/ wadi na…

Soma Zaidi ยป

Wafungwa kupiga kura Oktoba

DAR-ES-SALAAM : MSIMAMIZI Msaidizi wa Jimbo la Kivule, Wilaya ya Ilala, Dk. Mussa Ally ameipongeza serikali kwa kuwaruhusu wafungwa kushiriki…

Soma Zaidi ยป

Mapuri:Lindeni rasilimali za uchaguzi

DAR ES SALAAM : BALOZI wa Tume Huru ya Uchaguzi, Omar Mapuri, amewataka wasimamizi na waratibu wa uchaguzi nchini kuhakikisha…

Soma Zaidi ยป

Mwanasheria Mkuu alivyojipanga utekelezaji Dira 2050

KATIKA Dibaji yake kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 โ€“ Dira 2050, Rais Samia Suluhu Hassan anasema Dira 2050…

Soma Zaidi ยป

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025: Kataa siasa za uchochezi, hoja za chuki

WATANZANIA wanaelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Oktoba 2025 hivyo, hawana budi kufungua macho na akili…

Soma Zaidi ยป
Back to top button