Siasa

Spika: Bunge likivunjwa serikali inaendelea na kazi

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema bunge likivunjwa haina maana serikali itakuwa likizo bali itaendelea na kazi yake. Alitoa…

Soma Zaidi »

Samia aagiza Watanzania walio Iran, Israel kurudi nchini

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza Watanzania wanaoishi Iran na Israel warudishwe nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Soma Zaidi »

Wadau: Marekebisho sheria za uchaguzi yaonesha uongozi bora

WADAU wa masuala ya siasa wamesema marekebisho ya sheria za uchaguzi yameondoa kero, kurejesha matumaini kwa wapigakura na kuonesha uongozi…

Soma Zaidi »

Mtikisiko majimboni

IKIWA imebaki miezi minne kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu hekaheka na sarakasi za watia nia zimeshika kasi…

Soma Zaidi »

Kikwete ataka tofauti za kisiasa zisiyumbishe taifa

RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ametaja mambo sita ya kufanya kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani ikiwemo vyama vya siasa kutambua kwamba…

Soma Zaidi »

Serikali: Chadema bado ina nafasi uchaguzi 2025

MWANDISHI Mkuu wa Sheria, Onorius Njole amesema Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) bado kina nafasi ya kusaini Kanuni za…

Soma Zaidi »

Tec yapiga marufuku wanasiasa kusimama madhabahuni

BARAZA la Maaskofu katoliki nchini (TEC) limepiga marufuku viongozi wa kisiasa au kiserikali kupewa nafasi ya kuzungumza madhabahuni, iwe kusalimia,…

Soma Zaidi »

Wagombe ACT waendelea kuomba kura za maoni uchaguzi

ZANZIBAR: Wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na ubunge Viti Maalum na Uwakilishi Viti Maalum, wakiendelea kuomba kura katika uchaguzi…

Soma Zaidi »

Watanzania walioko Iran, Israel kurejeshwa nyumbani

DAR ES SALAAM; SERIKALI imesema inafanya jitihada za kuwarejesha nyumbani Watanzania wote waliopo Israel na Iran ili kuwaepusha na mashambulio…

Soma Zaidi »

Biteko ataka uhuru Afrika uzalishaji nishati

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametoa wito kwa nchi za Afrika kupewa uhuru wa kuzalisha…

Soma Zaidi »
Back to top button