Siasa

Mpogolo akabidhi utekelezaji Ilani ya CCM, aeleza mafanikio

DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Ilani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia…

Soma Zaidi »

Tanzania, Marekani zashauriana changamoto za uhamiaji

SERIKALI ya Tanzania imeanza mashauriano na Serikali ya Marekani kuhusu masuala ya uhamiaji ambayo yanaweza kuathiri raia wa Tanzania kuingia…

Soma Zaidi »

Umoja wa Afrika waridhishwa maandalizi uchaguzi Tanzania

DAR ES SALAAM — Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya…

Soma Zaidi »

Tangaza nia bila matusi, heshimu kanuni” – MCC Asas aonya wana CCM

IRINGA: MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salim Faraj Asas, ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho…

Soma Zaidi »

Kalemani, Makongo kuchuano ubunge Chato

CHATO: MBUNGE wa Chato, Medard Kalemani anatarajia kukutana na upinzani jimboni hapo kuelekea Uchaguzi Mkuu baada ya mwandishi wa habari…

Soma Zaidi »

Mjumbe CCM: Tunaenda kugombea sio kugombana

ARUSHA: MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Taifa (CCM), Namelock Sokoine amesema kuelekea uchaguzi mkuu watu wanapaswa kufahamu  wanaenda…

Soma Zaidi »

Balozi Matinyi awasilisha hati za utambulisho kwa Mfalme Gustaf

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf, katika hafla maalum iliyofanyika…

Soma Zaidi »

Tanzania yamtunuku heshima Rais wa AfDB

TANZANIA imetambua mchango wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk Akinwumi Adesina katika maendeleo nchini na kumtunuku…

Soma Zaidi »

Tanzania, Rwanda zasaini hati makubaliano uimarishaji mpaka wa kimataifa

Tanzania na Rwanda zimetiliana saini Hati ya Makubaliano (MoU) ya Uimarishaji mpaka wa Kimataifa baina ya nchi hizo. Makubaliano hayo…

Soma Zaidi »

Kaukau kutozwa ushuru

DODOMA; SERIKALI inakusudia kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha Shilingi 50 kwa kilo ya crisps (kaukau)  zinazozalishwa nchini, na…

Soma Zaidi »
Back to top button