Dini

Brazil yatangaza siku saba za maombolezo

BRAZIL : RAIS wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva ametangaza maobolezo ya siku saba kufuatia kifo cha Baba Mtakatifu…

Soma Zaidi »

Rose Muhando afunika Mtoko wa Pasaka

DAR ES SALAAM; MWIMBAJI wa muziki wa Injili Rose Muhando alikonga nyoyo za mashabiki kwenye Tamasha la mtoko wa Pasaka…

Soma Zaidi »

Papa Francis ameacha historia

VATICAN : MWAKA 2013, historia ilifanyika pale Papa Francis alipotangazwa kama kiongozi wa Kanisa Katoliki, akiwa Papa wa kwanza kutoka…

Soma Zaidi »

Papa Francis afariki Dunia akiwa na miaka 88

VATICAN – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 88. Taarifa…

Soma Zaidi »

Amani, utulivu, upendo viwe msingi wa Sikukuu ya Pasaka

DAR ES SALAAM; WAKRISTO nchini leo wanaungana na wenzao kote duniani kusherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka ufufuo wa Yesu Kristo…

Soma Zaidi »

Wakristo wahimizwa kusimamia haki, ukweli

DAR ES SALAAM – VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa…

Soma Zaidi »

Eid El-Fitri: Sikukuu ya shukrani na mshikamano kwa waislamu

EID EL -FITRI ni mojawapo ya sikukuu muhimu kwa Waislamu kote duniani. Huadhimishwa kila mwaka baada ya kukamilika kwa mwezi…

Soma Zaidi »

Ahmadiyya waipongeza serikali kudumisha amani

MOROGORO: JUMUIYA ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania imeisifu Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuendelea kusimamia amani, kuleta utulivu,  kujali…

Soma Zaidi »

Askofu Bendera ahimiza amani uchaguzi mkuu 2025

ASKOFU wa Kanisa la Ufunuo Tanzania ambaye anasimamia Mkoa wa Shinyanga Samawi Bendera amewataka watanzania kuishi kwa amani katika kipindi…

Soma Zaidi »

Mufti: Tuepuke fitna, uzushi Uchaguzi Mkuu

SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Abbubakar Zubery amehimiza wananchi wajiepushe na uzushi kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Amewataka kutumia…

Soma Zaidi »
Back to top button