Dini

Makardinali kuanza kukutana Mei 7 kumchagua Papa

DAR ES SALAAM; MAKARDINALI 135 watakutana Mei 7, mwaka huu katika kongamano la kumchagua kiongozi wa Kanisa Katoliki. Taarifa kutoka…

Soma Zaidi »

Mufti ateua mshauri wa dini, uchumi

DODOMA; SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zubeir amemteua Ismail Dawood kuwa mshauri wake katika masuala ya dini, uchumi, maendeleo…

Soma Zaidi »

Wasanii wajitokeza tuzo za Injili

WAANDAAJI wa Tuzo za Muziki wa Injili (TGMA) wamesema wametiwa moyo na muitiko wa wasanii wa muziki wa injili nchini…

Soma Zaidi »

Dk. Sule: amani muhimu kuliko madaraka

MWENYEKITI wa Taasisi ya Islaah Islamic, Dk. Seif Sule maarufu kama Dk. Sule ametoa wito kwa Watanzania kuhakikisha wanalinda amani…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini watakiwa kuepuka uchochezi uchaguzi mkuu

DAR ES SALAAM: VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kuepuka kauli za uchochezi katika kipindi kuelekea uchaguzi mkuu, pamoja na kutokuingilia…

Soma Zaidi »

PAPA FRANCIS; Taa ya unyenyekevu, amani ‘iliyozimika’

PAPA Francis ni Papa pekee (Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani), aliyeshiriki kumchagua papa (mtangulizi wake) Papa Benedicto XVI mwaka…

Soma Zaidi »

Papa Francis kuzikwa jumamosi

VATICAN : MAZISHI ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis yamepangwa kufanyika siku ya Jumamosi katika Kanisa Kuu la…

Soma Zaidi »

TEC yatangaza maombolezo, misa siku 9 mfululizo

BAADA ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis kufariki duniani Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetangaza siku tisa…

Soma Zaidi »

Dunia yamlilia Papa Francis

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa waumini wa Kanisa Katoliki nchini na duniani kote kutokana na kifo…

Soma Zaidi »

Trump aamuru bendera kupepea nusu mlingoti

MAREKANI : RAIS wa Marekani, Donald Trump ameamuru bendera zote zipandishwe nusu mlingoti kama sehemu ya maombolezo ya Baba Mtakatifu…

Soma Zaidi »
Back to top button