Dodoma

Wakina baba walia kukosa mikopo asilimia 10

DODOMA: MBUNGE wa Hai, Saashisha Mafuwe, ameiomba Serikali iruhusu wanaume kunufaika na mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri…

Soma Zaidi »

Msipande bodaboda mishikaki- Sillo

DODOMA: NAIBU WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, amewaagiza wadau wa usalama barabarani kudhibiti ajali za barabarani…

Soma Zaidi »

Wakandarasi walipwa bil 254/-

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema ndani ya miezi miwili, serikali imetoa takribani Sh bilioni 254 kwa ajili ya kulipa…

Soma Zaidi »

‘Muswada wa Makao Makuu Dodoma uingie bungeni haraka’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu…

Soma Zaidi »

Tume ya TEHAMA yabainisha fursa kupitia NaPA

DODOMA: TUME ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imewataka wabunifu nchini kutumia fursa za mfumo wa anuani za makazi na…

Soma Zaidi »

Mbarawa ataka kasi ujenzi uwanja wa ndege Msalato

DODOMA: WAZIRI wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa ameziagiza mamlaka zinazosimamia mradi wa ujenzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato, mkoani…

Soma Zaidi »

Rais Samia aongoza kikao Baraza la Mawaziri

Soma Zaidi »

Zaidi ya mil 400 kusambaza mitungi ya gesi Dodoma

CHAMWINO, Dodoma: MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa cha sh 406,712,250 kwa Wakala…

Soma Zaidi »

Majaliwa akagua mkakati matumizi nishati safi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara jijini Dodoma ya kukagua utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa nishati safi ya kupikia…

Soma Zaidi »

Serikali kuimarisha umeme kwenye vitongoji

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali inatarajia kuanzisha mradi mpya wa upelekaji umeme katika vitongoji utakaohusisha ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button