Tanzania

Rais Mwinyi aongoza kikao kazi cha viongozi wa serikali

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza Kikao Kazi kilichowajumuisha Mawaziri,…

Soma Zaidi »

Wananchi Iringa wafikiwa kampeni NIC Kitaa

IRINGA: Kampeni ya kutoa elimu ya bima mtaani ijulikanayo kama NIC Kitaa imezinduliwa mkoani Iringa ikiwa na lengo la kuwafikia…

Soma Zaidi »

Msitu wa Ngezi; thamani itakayoipaisha Pemba

PEMBA ni moja ya visiwa vikongwe vya Zanzibar kinachoishi chini ya kivuli cha kisiwa dada chenye harakati nyingi cha Unguja.…

Soma Zaidi »

Vyombo vya habari vizingatie weledi kulinda amani, uzuri wa Tanzania

MSEMAJI Mkuu wa Serikali na, Gerson Msigwa alizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kueleza jinsi baadhi ya vyombo…

Soma Zaidi »

Askofu awasihi vijana kudai haki kwa kuzingatia amani

ASKOFU wa Jimbo la Dodoma wa Kanisa la Tanzania Missionary Revival Church (TMRC) Dickson Chiulei amewashauri vijana watakaopata msamaha wa…

Soma Zaidi »

Waombwa kuwaunga mkono wahitimu VETA Kongwa

WITO umetolewa kwa wananchi kushiriki katika kutangaza na kutumia bidhaa zinazozalishwa na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) ili…

Soma Zaidi »

Siku 7 Kukamilisha Barabara ya Gairo–Kintinku

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku saba kwa wakandarasi wazawa wanaotekeleza miradi ya dharura katika barabara ya Gairo -…

Soma Zaidi »

Ulega asimamisha kazi watumishi Tanroads

SERIKALI imewasimamisha kazi watumishi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wanaodaiwa kuhusika na uzembe wa kutoshughulikia tatizo la mizani ya…

Soma Zaidi »

“Tuzo za kampuni ni vyenzo ukuaji uchumi”

DAR ES SALAAM: Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa kampuni…

Soma Zaidi »

ATCL kuongeza vituo vitatu kimkakati

SERIKALI imesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linazidi kuimarika na litaongeza vituo vitatu kimkakati. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson…

Soma Zaidi »
Back to top button