Tanzania

Zuberi Maulid ashinda kwa kishindo Spika Baraza la Wawakilishi

BARAZA la Wawakilishi Zanzibar leo limemchagua Zuberi Ali Maulid wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Spika wa Baraza hilo, baada…

Soma Zaidi »

RC Mtanda: Wananchi wawe huru kufanya shughuli zao

MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, said Mtanda, ameondoa agizo la wananchi kuhakikisha wapo nyumbani saa 12 jioni, kwa sababu…

Soma Zaidi »

Tashico kurejesha huduma za meli kesho

MWANZA: Huduma za meli zinazomilikiwa na Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico) zitarejea kesho Novemba 6, 2025 nchi nzima, baada ya…

Soma Zaidi »

NECTA yatangaza matokeo mtihani Elimu ya Msingi

Soma Zaidi »

Tanzania yaihakikishia dunia usalama wa watalii

DODOMA: Wizara ya Maliasili na Utalii imeutaarifu umma kuwa wageni na wadau wa Sekta ya Utalii ndani na nje ya…

Soma Zaidi »

RC Katavi Aonya Kupandisha Bei

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka wafanyabiashara mkoani humo kutochukua kipindi cha baada ya uchaguzi kama kisingizio cha…

Soma Zaidi »

Johari ateuliwa Mwanasheria Mkuu Tanzania

DODOMA : RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu…

Soma Zaidi »

Dk.Talib ateuliwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Dk Mwinyi Talib Haji kuwa…

Soma Zaidi »

Umeme wa Jua Waongeza Nguvu Gridi ya Taifa

SERIKALI kupitia TANESCO imejizatiti kuwekeza katika vyanzo mseto vya nishati ya umeme ikiwemo mashamba ya umeme wa jua ili kuongeza…

Soma Zaidi »

Rais Samia akabidhiwa nyaraka za kazi

DODOMA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Moses…

Soma Zaidi »
Back to top button