Tanzania

Samia aongoza maadhimisho Mei Mosi kitaifa

Soma Zaidi »

Watumishi 412,000 wapandishwa madaraja miaka minne ya Rais Samia

SINGIDA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, ameeleza kuwa ndani ya…

Soma Zaidi »

INEC yaanza tena kuboresha daftari la kura

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwa awamu ya pili utafanyika…

Soma Zaidi »

Majaliwa mgeni rasmi miaka 100 Rotary District 9214

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kihistoria la Rotary District 9214 litakalofanyika Dar es Salaam…

Soma Zaidi »

Tucta yasifu madai yao kutimizwa

RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mkoani Singida.…

Soma Zaidi »

Jeshi latangaza nafasi za ajira

DODOMA: Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye elimu…

Soma Zaidi »

‘Wanasiasa wajiepushe kauli kuvuruga amani’

DAR ES SALAAM; mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, amewataka wanasiasa nchini kuacha mara moja tabia…

Soma Zaidi »

DG NEMC akutana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu

KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Dk Jim James Yonazi akutana na Mkurugenzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »

UWT Geita watakiwa kuacha kinyongo uchaguzi mkuu

VIONGOZI na wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita wameonywa kutotumika kama chambo…

Soma Zaidi »

Waziri Chana akutana na Sekretarieti ya Mkataba wa Lusaka

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka (Lusaka…

Soma Zaidi »
Back to top button